…Akilia kwa furaha baada ya kurejea nyumbani.
…Akiondoka uwanjani.
BAADA ya kuwa Afrika Kusini majuma kadhaa kwa ajili ya matibabu, Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya New Habari 2006 na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom Kibanda, hatimaye amerejea nyumbani leo mchana na kulakiwa na mamia ya waandishi wa habari.
(Picha na Chande Abdallah na Denis Mtima)
No comments:
Post a Comment