MSIGWA
KISIWA CHA MATUKIO NA KUPASHANA HABARI
Tuesday, June 4, 2013
MANGWEA ALIPOKELEWA HIVI
Mwana Hip Hop, Farid Kubanda 'Fid Q' akielezea jambo wakati msafara ukielekea Muhimbili.
Adam Juma (mbele) na Jay Mo wakielekea kuupokea mwili wa Mangweha.…
Mwana Hip Hop, Farid Kubanda 'Fid Q' akielezea jambo wakati msafara ukielekea Muhimbili.
Adam Juma (mbele) na Jay Mo wakielekea kuupokea mwili wa Mangweha.
Banana Zorro naye alikuwepo.
Keisha naye alikuwa miongoni mwa waliofika kuupokea mwili wa Mangweha.
Mchizi Mox akihojiwa na Clouds TV.
Kila mmoja alitamani japo alione jeneza lenye mwili wa Mangweha.
Vijana wakigombania kubeba msalaba wa Mangweha.
Kikosi kazi kutoka Global Publishers kikiwa mzigoni.
Nyomi ikisindikiza mwili wa Mangweha kuelekea Muhimbili.
Vijana wakiimba nyimbo za kumkumbuka Mangweha.
Gari lililobeba msalaba.
Kumbukumbu za tukio hilo zikichukuliwa.
Gar lililobeba mwili wa Mangweha.
(PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS/GPL)
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment