Thursday, May 9, 2013

MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI IMEMFUNGA MWAKA MMOJA NJE SHEIKH PONDA

Sheikh Ponda akisubiri hukumu.
Baadhi ya washitakiwa na wananchi wakifuatilia hukumu hiyo.
Sheikh Ponda (kulia) pamoja na washitakiwa wakiwa kizimbani.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imemuhukumu Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda kifungo cha nje cha mwaka mmoja. Katika kipindi chote cha hukumu, Sheikh Ponda ametakiwa kuwa mlinzi wa amani.Picha kwa hisani ya GPL

No comments:

Post a Comment