Thursday, May 9, 2013

BAADA YA HUKUMU YA SHEIKH PONDA ALILAKIWA HIVI

Baadhi ya wananchi wakimpungia mkono Sheikh Issa Ponda aliyekuwa kwenye gari baada ya hukumu.
...Hawa wakishangilia nje ya mahakama.…
Baadhi ya wananchi wakimpungia mkono Sheikh Issa Ponda aliyekuwa kwenye gari baada ya hukumu.
Shangwe zilitawala nje ya mahakama.
Ulinzi ulikuwa umeimarishwa kama inavyoonekana.
Sheikh Ponda akiongea na baadhi ya wanahabari nje ya Mahakama ya Kisutu baada ya kuhukumiwa kifungo cha nje cha mwaka mmoja.
Sheikh Ponda akiingia kwenye gari.
(PICHA NA MAKONGORO OGING' / GPL)

No comments:

Post a Comment