Safari ilianzia ijumaa Tar.12/10/2013 pale Ubungo
Mchuma wenyewe ulikuwa ni huu mwanzo mwisho
Kufika pale Mwidu tukakutana na bonge la Jam wacha tukeshe hapo
Naambiwa ilikuwa salama hakuna majeruhi aliyefariki
Lilikuwa limesheheni mkaa, liligonga Lori jingine
Hatimae tukaingia Moro nakupata Msosi
Tukaingia Iringa usiku saa 5;30 na kwenda kupata msosi pale Miami
Safari ya Ruaha ikiwa imechanganya kwa barabara ya vumbi Takribani Km.138 mpaka ufike mbugani
Tukaingia getini Ruaha
Lazima upitie sheria na masharti ili ujiridhishe
Hapa lazima ufanye malipo ndipo uzame ndani
Tulikaribishwa na huyu nembo ya Taifa kabla hatujatua makao makuu ya mbugani
Vile vile tukaona Viboko na Mamba kabla hujafika makao makuuu
Nguvu ya mamba ipo mumayi
Nitaaendelea baadae...........
No comments:
Post a Comment