Kiongozi wa mbio za mwenge wa Uhuru Taifa Juma Alli Simani kushoto akimkabidhi mwenge wa uhuru Rais Jakaya Kikwete mara baada ya kuhitimisha mbio hizo mkoani Iringa juzi |
Vijana wa halaiki kutoka shule mbali mbali za Manispaa ya Iringa wakionyesha umahili wao katika kutoa ujumbe wa Mwenge
Askari wa FFU Iringa wakiwa wamemkamata kijana ambae jina lake
bado kufahamika aliyetaka kuvamia mwenge kwa nia mbaya wakati
wakimbiza mwenge wakiwa mbioni kukabidhi mwenga kwa Rais Jakaya
Kikwete uwanja wa Samora Iringa
Watoto wa halaiki wakiwa wamepumzika
Rais Jakaya Kikwete akiwa amekabidhiwa rasmi mwenge wa Uhuru leo baada ya kuhitimisha mbio zake nchini
Rais Kikwete akiwa ameushika mwenge wa Uhuru leo uwanja wa samora Iringa
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa mbio za mwenge kikanda na jumla leo
Rais Jakaya Kikwete akipokea mwenge kwa ajili ya kupiga picha ya pamoja na washindi wa mbio hizo kikanda
Rais Jakaya Kikwete akiwa na viongozi wa dini walioshiriki kumwomba dua baba wa taifa leo
Rais Kikwete akisalimiana na askofu wa Roman Katoliki leo
Wageni mbali mbali wakiwemo mabalozi wakiwa katika picha ya pamoja na rais Kikwete
Mbunge wa jimbo la Iringa mjini
mchungaji Peter Msigwa akimpongeza Rais Jakaya Kikwete kwa hotuba
yake nzuri " Mheshimiwa Rais nimeipenda sana hotuba yako leo"
Rais Kikwete akiwa na wabunge wa
Chadema Iringa ,mchungaji Peter Msigwa na Chiku Abwao ambao pia
walishiriki kilele cha mbio za mwenge
Rais Kikwete akipongezwa na mbunge Chikua Abwao na mbunge Msigwa kushoto
Mbunge Chiku Abwao akipiga picha ya Spika makinda leo uwanja wa samora
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania na spika Makinda wa tatu kulia
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na wakuu wa wilaya nchuini
Mke wa rais Mama Salima Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na spika Makinda na wakimbiza mwenge Kitaifa leo
Wakuu wa wilaya Gelard Guninita na Venance mwamoto katika picha ya pamoja na mwananchi kulia
Mpiga picha wa TBC akiwa juu ya paa kufuatilia matukio ya kilele cha Mwenge leo
Spika wa bunge Anne Makinda akiwa na waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu sera na uratibu wa bunge Wiliam Lukuvi
Na matukiodaima.com
No comments:
Post a Comment