BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI MOTO,WABUNGE WA TANZANIA WATOKA NJE KUPINGA WABUNGE WA NCHI NYINGINE KUTOKA NJE KUSHINIKIZA HOJA ZAO
Spika wa
Bunge la Afrika Mashariki(EALA)Magreth Zziwa akimsikiliza mbunge wa
bunge hilo kutoka Tanzania,Shyrose Bhanji wakati wakielekea bungeni.(P.T)
Spika akiongoza kikao cha leo mchana ambacho kiliahirishwa baada ya wabunge wa Tanzania kutoka nje
Wabunge wa
Tanzania kwenye bunge la Afrika Mashariki(EALA)wakitoka ndani ya ukumbi
wa bunge hilo leo kupinga wabunge wenzao wanaoshinikiza hoja zao kwa
kutoka kwenye vikao vya bunge hali inayoshusha hadhi ya Spika,bunge na
wabunge wenyewe,kutoka kushoto ni Mh.Twaha Taslima,Mh.Shyrose
Bhanji,Mh.Abdula Mwinyi na Nderakindo Kessy
Mbunge wa
Tanzania kwenye bunge la Afrika Mashariki(EALA)akitoa ufafanuzi kwa
waandishi wa habari yalipo makao makuu wa Afrika Mashariki jijini Arusha
baada ya kutoka nje na kikao kuhairishwa hadi kesho
Kiongozi
wa baraza la Wawakilishi Zanzibar,Ali Mzee(kulia)akizungumza na wabunge
wa Tanzania kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki(EALA)kutoka kushoto ni
Mh.Shyrose Bhanji,Mh.Nderakindo Kessy,Mh.Twaha Taslima na Mh.Abdula
Mwinyi.
Mbunge wa
Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki,Makongoro
Nyerere(shoto)akifurahia jambo na Mbunge Peter Mathuki aliyewasilisha
hoja ya kutaka vikao vya bunge vifanyike kila mwanachama na sio Arusha
pekee yalipo makao makuu ya EAC.
Maafisa wa bunge wakitafakari baada ya wabunge wa Tanzania kutoka nje na Spika kuhairisha kikao hadi kesho
No comments:
Post a Comment