
Fuso iliyo beba ng'ombe imepata ajari na kuidondokea VITZ

Hawa ni ng'ombe kiduchu walio bakia wengine wananchi wenye hasira kali walijisevia wote.

Haka ni kavitz kaliko laliwa na Fuso hapo dereva chupu chupu.

Baadhi ya wadau wakishangaa hii ajari jinsi ilivyo tokea.

Tairi zote na axle yake kwisha kazi

Mzinga ulikuwa hivi.
No comments:
Post a Comment