Wednesday, June 5, 2013

MWILI WA MANGWEA KUAAGWA UWANJA WA JAMHURI MORO





Pichani juu ni maandalizi ya ndani ya Uwanja wa Jamhuri atakapoagwa msanii Albert Mangweha leo kabla ya mazishi yatakayofanyika nyumbani kwao Kihonda.
KUFUATIA umati wa watu uliojitokeza jana kuupokea mwili wa msanii Albert Mangweha, wanafamilia, ndugu, jamaa na uongozi wa serikali ya mkoa wa Morogoro kwa pamoja wameamua shughuli za kuaga mwili wa msanii huyo zifanyike ndani ya Uwanja wa Jamhuri badala ya nyumbani kwao marehemu eneo la Kihonda Mazimbu Road kama ilivyokuwa imetaarifiwa hapo mwanzo.
Kwa sasa mtandao huu uko ndani ya Uwanja wa Jamhuri tayari kwa kukuletea matukio mbalimbali yanayoendelea uwanjani hapo. Endelea kutembelea GPL...
(Picha na Dustan Shekidele / GPL,  Morogoro)

No comments:

Post a Comment