Rais Barack Obama, Mkewe Michelle Obama, marais wa zamani Jimmy Carter na Bill Clinton Agosti 28, 2013
Akizungumza
na maelfu ya watu waliohudhuria maadhimisho ya miaka 50 tangu
maandamano ya kutetea haki za kiraia kufanyika jijini Washington, rais
Barack Obama jana Jumatano alisema 'kazi haijamalizika' ya kutetea haki
na usawa kwa wamarekani wote
No comments:
Post a Comment