Mastaa wawili Hamisi Mandi maarufu kama B12 na Kajala Masanja ambao
wote ni marafiki na wote wawili na share siku moja ya kuzaliwa. Leo
ndiyo ilikuwa birthday yao ambapo Kajala Masanja alianza kwa kupeleka
misaada kwa watoto yatima na baadaye kuungana na B12 kwenye party
waliyoandaliwa na Wema Sepetu nyumbani kwa Wema. Kutoka millardayo.com
tunawatakiwa maisha mema na marefu wote wawili na hizi hapa ndiyo picha
zenyewe ambapo shughuli nzima ilitanguliwa na futari.
Wema Sepetu akimlisha keki B12
Zamu ya Kajala ilifika
Kulikuwa na keki zaidi ya nane kama unavyoziona
Hapa B12 akiwa kwenye futari ambayo iliandaliwa na Wema Sepetu
Wadau,ndugu na marafiki ambao walialikwa na Wema Sepetu
Kutoka Fish Crub anaitwa Lamaar
Kajala Masanja,Zamaradi Mketema,Wema Sepetu
Hii keki ndiyo iliyotia fora kwenye party
Keki hii kutoka kwa Wema kwenda kwa Kajala
Keki nyingine kwa ajili ya Kajala
Nyingine tena kwa ajili ya Kajala
Kutoka kwa Wema kwenda kwa B12
Kajala Masanja aliletewa keki za kutosha siku hii
Hawa ndiyo watoto waliozaliwa siku hii
Beautiful people
Hapa ilikuwa ni lights,camera then Instagram
Wema akiongoza wimbo wa happy birthday
B12 akimlisha keki mfanyakazi mwenzake wa Clouds media group Zamaradi Mketema
Hugs hugs hugs
Ndugu MC wa party Wema Sepetu

http://millardayo.com/bday/
No comments:
Post a Comment