Thursday, July 11, 2013

MZEE LYATONGA SHAVU DODO

Picture
Rais Kikwete na viongozi wa vyama vya siasa vilivyoshiriki katika Kongamano la Kitaifa Kujadili Amani ya Taifa lililofanyika katika Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam. Kushoto ni kiongozi wa chama cha NCCR-Mageuzi Mhe. James Mbatia (MB), Mwenyekiti wa TLP Mhe. Augustine Mrema (wa tatu kushoto) na kulia ni Mwenyekiti wa UDP Mhe. John Cheyo. (picha: Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment