Thursday, June 6, 2013

STEREO BAR KINONDONI YATEKETEA KWA MOTO

 

Viti vya klabu hiyo vikiwa vimeteketea kwa moto.

 

Muonekano wa nje wa klabu hiyo.

 

Sehemu ya kuuzia chips na kuku ikiwa…

 

Viti vya klabu hiyo vikiwa vimeteketea kwa moto.

Muonekano wa nje wa klabu hiyo.


Sehemu ya kuuzia chips na kuku ikiwa imeteketea.

 

Wakazi wa eneo la tukio.

 

Askari wa Kikosi cha Zima Moto wakiwa kazini.

 

Friji 
 zilizosheheni vinywaji baada ya kuteketea kwa moto.

 

Meneja wa klabu hiyo, Said Kassim akitoa maelezo kwa waandishi walifika kwenye tukio.
Klabu ya EM Stereo iliyopo Kinondoni - Studio jijini Dar es Salaam leo imeteketea kwa moto baada ya kutokea hitilafu ya umeme. Moto huo umeteketeza kila kitu kilichokuwa ndani ya klabu hiyo.
 (PICHA: GLADNESS MALLYA NA DENIS MTIMA / GPL)

No comments:

Post a Comment