
Hii
ndio picha ambayo imesambaa kwenye mitandao mingi ya msichana
anesemekana ni Fatma aka Brown Berry wa Ilala Dar es Salaam ambae
amehukumiwa kunyongwa huko egypt baada ya kukamatwa na unga.

![]() | |
Uwii I hope this is not true maskini hapa insemekana yuko na mwanae dah!!!!! |
![]() | ||
Fatma aka Brown Berry akiwa na mpenzi wake |
Katika
tafuta tafuta zangu za hape na pale nimekutana na hizi picha ambazo
zinadai kwamba huyo ndo mrembo ajulikane kama Fatma almaarufu kwa jina
la Brown Berry wa mitaa ya Ilala Jijini Dar es salaam aliyehukumiwa
kunyongwa baada ya kupatikana na unga nchini Misri. Inarepotiwa kwamba
siku yake ya kunyongwa ni Ijumaa hii tarehe 7 June 2013 huko huko Misri.
No comments:
Post a Comment