Monday, June 17, 2013

STARS WALIKUFA HIVI TAIFA

Kikosi cha timu ya soka ya Tanzania ‘Taifa Stars kilichopambana na timu ya Ivory Coast jana na kufungwa magoli 4-2 katika michuano ya kufuzu muchuano ya kombe la duni nchini Brazil, mchezo huo ulifanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kushuhudiwa na mashabiki lukuki’.(Picha zote kwa hisani ya  Habari Mseto na Fullshangwe Blog)
Kikosi cha Ivory Coast.
 Waamuzi wa mechi ya Stars na Ivory Coast wakiwa katika picha ya pamoja na manahodha wa timu zote mbili. 
Benchi la ufundi la timu ya Taifa Stars. 
 Benchi la ufundi la timu ya Ivory Coast.
 Thomas Ulimwengu akimtoka mchezaji wa Ivory Coast, Bamba Souleman
 Ni hatari.
 Heka heka.
Gooooooooo. 
 Thomas Ulimwengu akishangilia bao la pili la Stars.
Thomas Ulimwengu akishangilia baada ya kuifungia Taifa Stars bao la pili.
Mashabiki wakishangilia.
Wachezaji wa Taifa Stars wakishangilia bao la kwanza la timu hiyo katika mchezo wa kufuzu fainali za kombe la dunia dhidi ya Ivory Coast. Stars ilifungwa 4-2. 
 Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen akilalamikia penalti iliyotolewa na mwamuzi, Mehdi Abid.  
 Beki wa Taifa Stars, Shomari Kapombe akitafuta mbinu za
kumtoka mchezaji wa Ivory Coast, Aurier Alain katika mchezo wa kufuzu fainali
za kombe la dunia uliuofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Wachezaji wa Ivory Coast wakisalimia na wenzao.
Mshambuliaji wa Taifa Stars, Amri
Kihemba akiwatoka mabeki wa timu ya Ivory Coast,  katika mchezo wa kufuzu fainali za kombe la
dunia uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Ivory Coast
ilishinda 4-2. 
Mshambuliaji wa Stars, Thomas Ulimwengu akimtoka, Bamba Souleman.

No comments:

Post a Comment