

Huku watu wakiendelea kujitokeza katika viwanja Leaders Club katika harakati nzima ya kutoa heshima ya mwisho ya ndugu yetu msanii wetu na kipenzi cha watu wengi muda huu mwili wa Marehemu Albert Mangwear ndio umeingia katika viwanja vya leaders Club

MC akiwajibika kwa stage

Hawa wa kuokoa watu wanao zimia kwa kulia sana nao walikuwepo
Baadhi ya ma super star wa bongo wakiwa kwenye mstari tayari kwa kuaga.

Ulinzi ulikuwepo wa kutosha
No comments:
Post a Comment