Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma kitabu alichopewa na Wakurugenzi wa
NEWater plant baada ya kutembelea mitambo yao ambayo inatoa huduma ya
maji masafi kwa nchi ya Singapore baada ya kuyachuja na kuyasafisha
kutoka vyanzo mbalimbali ikiwa ni pamoja na baharini, maji ya mvua na
maji taka.…
Rais Jakaya Mrisho Kikwete za ujumbe wake wakitembezwa kuangalia bandari ya Singapore.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma kitabu alichopewa na Wakurugenzi wa
NEWater plant baada ya kutembelea mitambo yao ambayo inatoa huduma ya
maji masafi kwa nchi ya Singapore baada ya kuyachuja na kuyasafisha
kutoka vyanzo mbalimbali ikiwa ni pamoja na baharini, maji ya mvua na
maji taka.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika mkutano wa kwanza wa
ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Singapore ulioandaliwa leo
Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wawekezaji wa Singapore leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa baadhi ya Watanzania
Waishio Singapore alipokutana nao leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya
Swissotel jijini Singapore.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Watanzania Waishio Singapore
alipokutana nao leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini
Singapore.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha ya kumbukumbu na Watanzania
Waishio Singapore alipokutana nao leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya
Swissotel jijini Singapore. Kulia ni balozi wa Tanzania nchini Singapore
Injinia John Kijazi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha wageni baada
ya kuwasili katika Istana (Ikulu ya Rais) leo Juni 5, 2013 huku
mwenyeji wake Rais wa Singapore Dkt Tony Keng Yam akiwa pembeni yake
baada ya kumlaki.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na mwenyeji wake Rais wa
Singapore Dkt Tony Keng Yam alipokutana naye katka Istana (Ikulu) ya
Singapore leo Juni 5, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake
Rais wa Singapore Dkt Tony Keng Yam alipokutana naye katka Istana
(Ikulu) ya Singapore leo Juni 5, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na mwenyeji wake Rais wa Singapore
Dkt Tony Keng Yam alipokutana naye katka Istana (Ikulu) ya Singapore leo
Juni 5, 2013.
(PICHA NA IKULU)
(PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment