Tuesday, June 18, 2013

HAWA AIRTEL NA MBINU MPYA

AIRTEL YATOSHA YAINGIA MTAANI KWA MBWEMBWE!!!
SASA NI MASAA 24 + 1 = 25 TANGU UNAPOJIUNGA
pich 3 

Wafanyakazi wa Airtel Tanzania makao makuu Dar es salaam wakiingia barabarani huku wameshikana mikono kwa maandamano ikiwa ni tukio maalum la kuitambulisha TOSHA 24+1=25
Michezo Airtel pict 1pict 1Wakwanza ni muhamasishaji wa huduma ya Airtel Yatosha aliyevalia kijamii ya maasai Bw Petro Abraham Lucas   akiwa na Wafanyakazi wa Airtel wakiwa wameshikana mikono kama ilivyo katika tangazo lao la gazeti na televisheni kuashiria kuwa huduma ya Airtel Yatosha kifurushi cha SIKU imeboreshwa na sasa ni masaa 25, ishara hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki kwenye barabara ya Old Bagamoyopict 1b 

Wakwanza ni muhamasishaji wa huduma ya Airtel Yatosha aliyevalia kijamii ya maasai Bw Petro Abraham Lucas   akiwa na Wafanyakazi wa Airtel wakiwa wameshikana mikono kama ilivyo katika tangazo lao la gazeti na televisheni kuashiria kuwa huduma ya Airtel Yatosha kifurushi cha SIKU imeboreshwa na sasa ni masaa 25, ishara hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki kwenye barabara ya Old Bagamoyopicha 9 
 
Kikundi cha Airtel yatosha kikitoa burudani katika barabara ya Old bagamoyo wati wambapo wafanyakazi wote wa Airtel jijini Dar e salaam waliposhikana mikono  kuashiria kuboreshwa kwa huduma yao ya Airtel Yatosha kwa wateja ambayo sasa imeboreshwa zaidi ili kumuongezea mteja muda zaidi wa kutumia kifurushi chake cha siku kwa masaa 25 toka alipojiunga. Ili mteja kujiunga anatakiwa kupiga *149*99# , tukio hili lilifanyika mwishoni mwa wiki katika barabara ya old bagamoyo.
pict 4 
Wafanyakazi wa Airtel Tanzania makao makuu Dar es salaam wakiingia barabarani huku wameshikana mikono kwa maandamano ikiwa ni tukio maalum la kuitambulisha TOSHA 24+1=25
pict 7 

Wafanyakazi wa Airtel Tanzania makao makuu Dar es salaam wakiingia barabarani huku wameshikana mikono kwa maandamano ikiwa ni tukio maalum la kuitambulisha TOSHA 24+1=25
picha 11

No comments:

Post a Comment