Mwana FA aanza kampeni dhidi ya Fistula Bukoba leo
Staa
wa muziki wa kizazi kipya, Hamees Mwin'jumah, a.k.a MwanaFA(Pichani
juu) yuko Bukoba kwa ajili ya kampeni ya vita dhidi ya ugonjwa wa
Fistula ambayo imedhaminiwa na Vodacom Foundation na kuratibiwa na
hospitali ya CCBRT
No comments:
Post a Comment