Meneja
Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu
(kushoto)akiongozana na Mshindi wa Droo kubwa ya "MAHELA "Bw.Valelian
Nickodemus(22)baada ya kumpokea katika kituo cha mabasi cha Ubungo
jijini Dar es Salaam akitokea Mkoa wa Kigoma mahususi kwa ajili ya
makabidhiano rasmi ya fedha zake kiasi cha shilingi Milioni 100 hivi
karibuni.
Meneja
Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu (katikati)akiongea
na Mshindi wa Droo kubwa ya "MAHELA "Bw.Valelian
Nickodemus(22)(kulia)baada ya kuwasili katika kituo cha mabasi cha
Ubungo jijini Dar es Salaam akitokea Mkoa wa Kigoma kuja kukabidhiwa
fedha zake taslimu hivi karibuni kiasi cha shilingi Milioni
100.anaeshuhudia kushoto ni mmoja wa wafanyakazi wa kituo cha mabasi
Ubungo
Baadhi ya
wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,wakimsikiliza kwa umakiini Mshindi wa
Droo kubwa ya "MAHELA "ambaye alijishindia shilingi Milioni 100
Bw.Valelian Nickodemus(22)akiwaelezea jinsi atakavyotumia fedha zake
mara baada ya kukabidhiwa rasmi hivi karibuni.
Meneja
Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu,akimpokea Mshindi
wa Droo kubwa ya "MAHELA "Bw.Valelian Nickodemus(22)baada ya kuwasili
katika kituo cha mabasi cha Ubungo jijini Dar es Salaam akitokea Mkoa wa
Kigoma kuja kukabidhiwa fedha zake taslimu kiasi cha shilingi Milioni
100.atakazokabidhiwa hivi karibuni.
Mshindi
wa Droo kubwa ya "MAHELA "Bw.Valelian Nickodemus(kushoto) akimsikiliza
kwa umakiini mwandishi wa habari wa ITV Emanuel Buhohela mara baada ya
kuwasili katika kituo cha mabasi cha Ubungo jijini Dar es Salaam
akitokea Mkoa wa Kigoma mahususi kwa ajili ya makabidhiano rasmi ya
fedha zake kiasi cha shilingi Milioni 100 hivi karibuni.Kulia ni Meneja
Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu.
No comments:
Post a Comment