KIKWETE ZIARANI KUWAIT
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mtawala wa Dola ya Kuwait Amiri Sabah
Al-Ahmad Al-Jaber Al-sabah wakipokea mashada ya maua alipowasili katika
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kuwait City leo Mei 5, 2013 tayari
kuanza ziara rasmi ya siku mbili katika nchi hiyo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mtawala wa Dola ya Kuwait Amiri
Sabah Al-Ahmad Al-Jaber Al-sabah alipowasili katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Kuwait City leo Mei 5, 2013…
No comments:
Post a Comment