
Majeruhi wakiwaishwa kupata matibabu

Hivi ndivyo hali halisi ilivyo kuwa Arusha
Yaani ilikuwa balaa sana

Dakika chache baada ya mlipuko hivi ndivyo watu walivyodhurika
wananchi wakiwa wameanguka chini huku wengine wakiwa wanakimbia mara baada ya mlipuko kutokea katika kanisa la mtakatifu joseph
hapa maaskofu na balozi wakiwa wanabariki chumvi kabla ya mlipuko kutokea
No comments:
Post a Comment