Kocha
wa Manchester United, Sir Alex Ferguson, akisalimiana na mashabiki
baada ya kuingia uwanjani Old Trafford kwa mechi ya timu yake dhidi ya
Swansea City leo.
Sir Alex akisaini 'autographs' baada ya kuwasili uwanjani Old Trafford.…
Kocha
wa Manchester United, Sir Alex Ferguson, akisalimiana na mashabiki
baada ya kuingia uwanjani Old Trafford kwa mechi ya timu yake dhidi ya
Swansea City leo. Sir Alex akisaini 'autographs' baada ya kuwasili uwanjani Old Trafford.
Mashabiki wa Manchester United wakiwa na mabango wakati wa mechi ya timu yao dhidi ya Swansea City.
No comments:
Post a Comment