JK AREJEA NCHINI TOKA KWENYE MKUTANO WA SADC
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais, Dkt Mohamed Gharib
Bilali (kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe Raymon Moshi mara baada
ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini
Dar es Salaam leo Mei 11, 2013 akitokea Cape Town, Afrika ya Kusini,
alikohudhuria mkutano wa nchi za SADC.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais, Dkt Mohamed Gharib Bilali (kulia) mara baada ya kutua…
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais, Dkt Mohamed Gharib
Bilali (kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe Raymon Moshi mara baada
ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini
Dar es Salaam leo Mei 11, 2013 akitokea Cape Town, Afrika ya Kusini,
alikohudhuria mkutano wa nchi za SADC.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais, Dkt Mohamed Gharib Bilali (kulia) mara baada ya kutua
katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo
Mei 11, 2013 akitokea Cape Town, Afrika ya Kusini, alikohudhuria
mkutano wa nchi za SADC.
(PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment