Sunday, May 19, 2013

BECKAM AMWAGA CHOZI AKIAGA

IMEWEKWA MEI 19, 2013 SAA 12:20 ASUBUHI
KIUNGO David Beckham alimwaga machozi wakati anawaaga mashabiki akistaafu rasmi, baada ya kucheza mechi ya mwisho mjini Paris usiku wa jana.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 38 alipewa heshima ya ya Unahodha wa Paris St Germain iliyoshinda 3-1 katika mchezo wake huo wa mwisho nyumbani dhidi ya Brest na alionyesha hisia zake wakati anaaga baada ya miaka zaidi ya miaka 20 uwanjani.
Akiwa na mkewe, Victoria na watoto wao wanne, Romeo, Brooklyn, Cruz na Harper, waliokuwa jukwaani wakiangalia mechi, alipewa heshima kwa wachezaji wenzake kusimama na mashabiki kila upande wakati anabadilishwa kipindi cha pili.
Tearful goodbye: A hugely emotional David Beckham wept as he left the pitch during his final game as a professional footballer
Chozi la kwaheri: David Beckham akimwaga chozi wakata anaaga soka
Heartbreak: Beckham hugs teammate Lucas before leaving the pitch at the Parc des Princes in Paris
Beckham akikumbatiana na mchezaji mwenzake Lucas kabla ya kuondoka Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris
Respect: Beckham was given a standing ovation by players from both sides and fans as he left the field
Beckham akiagana na kocha wake
Farewell: The former England captain waves goodbye to fans after 20 years in the game
Anapunga mkono wa kwaheri kwa mashabiki
Afterparty: The celebrations began as Beckham was tossed in the air by his teammates after the game
Baada ya Pati: Sherehe zilianza baada ya Beckham kuagwa
Celebration: Beckham lifts the Ligue 1 trophy with an England flag draped around his neck
Beckham akiwa amebeba taji la Ligue 1 aliloshinda na PSg msimu huu, huku shingoni ana bendera ya England 
Proud father: Beckham leads his sons Romeo and Cruz around the pitch in a lap of honour
Baba wa kujivunia: Beckham aliwaongoza watoto wake kiume, Romeo na Cruz uwanjani kupokea heshima
A born winner: The former England captain poses with his sons Brooklyn, Romeo and Cruz as his retirement celebrations begin
Akiwa na vidume vyake, Brooklyn, Romeo na Cruz
Onto pastures new: Beckham walks away following the medal ceremony to start the next chapter in his life away from football
Anaenda kupokea Medali
Fond farewell: Victoria holds daughter Harper as they cheer on David Beckham during his final game in Paris
Victoria akiwa amempakata binti yao, Harper jukwaani
End of an era: The Beckhams will be hoping to spend more time as a family after David retires from football tonight

No comments:

Post a Comment