Sunday, April 28, 2013

UHURU KENYATA AKIWA NA MARAIS WA EAC KWA MARA YA KWANZA, NGURDOTO, ARUSHA

uhuru 34859
Marais  Wa jumuiya ya Afrika Mashariki waliohudhuria Mkutano wa Wakuu wa jumuiya hiyo katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha leo.Kutoka kushoto ni Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi,Mwenyekiti wa jumuiya hiyo Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda,Mwenyeji wa mkutano Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Mpya wa Kenya,Uhuru Kenyatta. Chanzo: Freddy Maro

No comments:

Post a Comment