Sunday, April 28, 2013

TUNU PINDA AZINDUA DVD YA KWAYA YA KANISA LA TAG MWENGE

DSC07585 70f59
Tunu Pinda akiwa anaonyesha DVD yenye jina la Mungu Wetu Halinganishwi iliyoimbwa na kwaya ya Kanisa  la TAG Mwenge wanaoshuhudia ni kulia kwa Mama Pinda ni Mchungaji kiongozi, Abdiel Mhini kulia mwenye kilemba ni Mchungaji, Grace Mainoya anayefuatia ni Askofu wa jimbo la Mashariki Kaskazini,  Spear Mwaipopo.


DSC07575 e6c13
Mama Tunu Pinda akiwa anasoma risala kwa waumini wa Kanisa la TAG kabla ya kuzindua dvd.


DSC07574 54c8c
Mama Tunu Pinda

DSC07599 467a3
DVD. Chanzo: Chris Mfinanga



No comments:

Post a Comment