Wednesday, April 24, 2013

Wakimbizi wa Rwanda wahimizwa kutoka Uganda Wednesday, April 24, 2013 · Posted in Habari za Kimataifa Serikali za Uganda na Rwanda kwa kushirikiana na shirika la kuwahudumia wakimbizi la UNHCR, zinapanga kuwarejesha nyumbani wakimbizi kutoka Rwanda katika kipindi cha miezi miwili kutoka sasa. Hii ni kwa wale ambao wameishi ukimbizini Uganda kwa karibu miongo miwili, hata hivyo sio wote wanaridhia kurejeshwa kwao kwa hiari nyumbani. Bonyeza hapa kusoma zaidi » No Comments » Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook Rais Kikwete akutana na Viongozi wa Madhehebu ya Kikristo leo Ikulu · Posted in Dini, Habari za kitaifa Picture Viongozi wa dini wamewataka waumini kote nchini kulinda amani na umoja uliopo ili nchi isije ikaingia kwenye mgawanyiko wa kidini na kuleta machafuko hapa Tanzania. Wito huo umetolewa na viongozi wa dini leo Ikulu ya Dar-Es-Salaam mara baada ya kikao cha pamoja baina ya viongozi wa dini na Rais Jakaya Kikwete. Viongozi hao wa dini wamefika leo wakiongozwa na Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa, ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Bonyeza hapa kusoma zaidi » No Comments » Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook Amchinja mama yake akimtuhumu mchawi · Posted in Habari za kitaifa Watu wawili wameuawa katika matukio mawili tofauti mkoani Mbeya, likiwamo la kijana kumchinja mama yake kwa kutumia kisu kama kuku baada ya kumtuhumu kuwa ni mchawi aliyemloga mkwe wake. Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya, Barakael Masaki, jana aliwaeleza waandishi wa habari kuwa tukio la kijana kumchinja mama yake mzazi limetokea juzi majira ya saa 1:00 jioni katika kijiji cha Chobwe wilayani Ileje. Bonyeza hapa kusoma zaidi » No Comments » Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook Bangladesh factory building collapse kills nearly 100

  • An eight-storey block housing garment factories and a shopping center collapsed on the outskirts of the Bangladeshi capital on Wednesday, killing nearly 100 people and injuring hundreds more, officials said.
People rescue garment workers trapped under rubble at the Rana Plaza building after it collapsed, in Savar, 30 km (19 miles) outside Dhaka April 24, 2013. REUTERS-Andrew Biraj (BANGLADESH - Tags: DISASTER BUSINESS)
Fire fighters and army personnel worked frantically through the day at the Rana Plaza building in Savar, 30 km (19 miles) outside Dhaka, to rescue people trapped in the rubble. Television showed young women workers, some apparently semi-conscious, being pulled from the debris.

No comments:

Post a Comment