Maonyesho
ya ndege za kivita yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Uhuru wakati wa
maadhimisho ya miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
yakiongozwa na Amiri Jeshi mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. Jakaya Kikwete na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa
serikali, vyama vya siasa wakiwemo mabalozi wa nchi mbalimbali
nchini.(PICHA NA IKULU) |
No comments:
Post a Comment