USIOMBEE YAKUKUTE
Kibaka
ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja akiwa chini ya ulinzi
wa raia wenye hasira kali baada ya kupokea kichapo kikali kutoka kwa
wananchi hao akituhumiwa kumpora simu mpita njia eneo la Kariakoo jijini
Dar es salaam jana.
No comments:
Post a Comment