Rais Kikwete akiwa katika pozi kwenye mgodi wa chuma eneo la Mndindi Ludewa mkoani Njombe jana ,nyuma na mgodi wa chuma |
Mkuu wa Trafiki Ikulu Kedmundi Mnubi akiongoza msafara wa Rais Jakaya Kikwete |
Rais Kikwete akisisitiza jambo kuhusu kuwahamisha wananchi wanazunguka mradi huo |
Rais Kikwete akitoka kutembelea maradi wa Liganga kijiji cha Mndindi Ludewa |
Huu ni mgodi wa chuma |
Wananchi wa Mndindi Ludewa wakimshangilia Rais Kikwete |
Rais Kikwete akiwahotubia wananchi wa kijiji cha Mndindi Ludewa |
Mkuu wa Trafiki Ikulu Bw Kedmund Mnubi akiwa jirani na mgodi wa chuma Liganga Ludewa |
Kikosi cha wanahabari waliopo katika msafara wa JK wakiwa katika picha ya pamoja na mzee wa matukio daima wa tatu kushoto na mzee wa TBC Mbeya Hosea Cheyo wa tatu kulia |
Naibu waziri wa Maji Dr Binilith Mahenge akipozi kwa picha eneo la mgodi wa chuma Ludewa |
Rais Kikwete na mtoto wa mwekezaji wa kichina katika mradi wa Liganga Ludewa |
Wananchi wakiwa wamezuia msafara wa JK eneo la Shauri Moyo Ludewa huku watoto wakipanda juu ya miti kumwona Rais wao |
Rais Kikwete akipiga picha na wauguzi wa na walimu |
No comments:
Post a Comment