BENDI
ya Jahazi Modern Taarab usiku wa kuamkia leo imefunika vilivyo katika
onyesho lao la nguvu lililofanyika ndani ya Ukumbi wa Taifa wa Burudani
wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam.
Shoo kali kutoka kwa Mzee Yusuf na kundi lake ilizikonga nyoyo za mashabiki na kuwaacha roho safi.
(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY / GPL)
No comments:
Post a Comment