Baadhi
ya waandishi wa habari wakipatiwa huduma ya kwanza baada ya kutokea
ajali ya gari walilokuwa wamepanda katika msafara wa wabunge waliokuwa
safarini kuelekea Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro jana ambalo lilipindua
eneo la Karatu na kuwajeruhi waandishi wanne ambao walipelekwa kupatiwa
matibabu katika Hospitali ya Karatu.
Baadhi yao wakipatiwa huduma ya kwanza wakipepewa baada ya ajali hiyo.
Hili ndilo gari walilokuwa wamepanda waandishi hao..
No comments:
Post a Comment