Friday, September 6, 2013

MTITI WA BUNGENI HUU



 Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aakiwa ameng'ang'ania  Microphone ya sehemu ya Kuzungumzia wapinzani Bungeni wakati polisi walipokuwa wakimtoa Bungeni Mjini Dodoma leo 
 Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi akiwa ameng'ang'ania  Microphone ya sehemu ya Kuzungumzia wapinzani Bungeni wakati polisi walipokuwa wakimtoa Bungeni Mjini Dodoma leo. hata hivyo   Microphone hiyo iling'oka  na polisi wakafaikiwa kumtoa nje
  Microphone hiyo iling'oka  na polisi wakafanikiwa kumtoa nje-
 Mbunge wa Kuteuliwa na Mwenyekiti wa NCCR_MAGEUZI, James Mbatia akisahangaa kuona mapambano kati ya wabunge wa CHADEMA na Polisi Bungeni 

No comments:

Post a Comment