Wednesday, September 11, 2013

MWENYEKITI AGONGWA NA BODA BODA SINZA


Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Sinza E amepata ajali ya kugongwa na bodaboda maeneo ya vatican karibu kabisa na kituo cha lion.


Mwendesha bodaboda mwenye koti jeusi na pensi ndiye mmiliki wa pikipiki hiyo





Wananchi wakimpakia mwenyekiti huyo kwenye gari la Msamalia mwema tayari kwa kumpeleka hospitali ya palestina sinza.

No comments:

Post a Comment