Sturridge amefunga bao hilo dakika ya nne ya mchezo na kuwafanya Majogoo hao wa Liverpool kuibuka na pointi tatu kwenye mchezo huo uliopigwa Uwanja wa Anfield.
Vikosi vya leo vilikuwa kama ifuatavyo:
LIVERPOOL: Mignolet 6; Johnson 6 (Wisdom 78, 5), Agger 7, Skrtel 7, Enrique 6; Henderson 7, Lucas 6, Gerrard 7; Aspas 6 (Sterling 60, 6), Sturridge 7, Coutinho 8 (Alberto 84).
Waliokuwa benchi: Jones, Ibe, Kelly, Flanagan.
MAN UNITED: De Gea 6; Jones 5 (Valencia 37, 6), Ferdinand 7, Vidic 6, Evra 6; Carrick 5, Cleverley 7; Young 5 (Nani 62, 6), Welbeck 6, Giggs 6 (Hernandez 75); Van Persie 5.
Waliokuwa benchi: Anderson, Smalling, Lindegaard, Buttner.
No comments:
Post a Comment