Sunday, September 1, 2013

BWAWA LA MAINI HAWA


Daniel Sturridge akishangilia bao lake la pekee katika mchezo wa leo.
Hekaheka langoni mwa Manchester United.
Hapiti mtu…
Daniel Sturridge akishangilia bao lake la pekee katika mchezo wa leo.
Hekaheka langoni mwa Manchester United.
Hapiti mtu hapa:  Mshambuliaji wa Man Utd, Welbeck akienda chini baada ya kudhibitiwa na wachezaji wa Liverpool Lucas na Aspas.
MSHAMBULIAJI Daniel Sturridge amepeleka machungu kwa wapenzi wa Manchester United baada ya kuifungia timu yake ya Liverpool bao la pekee katika mchezo wa leo.
Sturridge  amefunga bao hilo dakika ya nne ya mchezo na kuwafanya Majogoo hao wa Liverpool kuibuka na pointi tatu kwenye mchezo huo uliopigwa Uwanja wa Anfield.
Vikosi vya leo vilikuwa kama ifuatavyo:
LIVERPOOL: Mignolet 6; Johnson 6 (Wisdom 78, 5), Agger 7, Skrtel 7, Enrique 6; Henderson 7, Lucas 6, Gerrard 7; Aspas 6 (Sterling 60, 6), Sturridge 7, Coutinho 8 (Alberto 84).
Waliokuwa benchi: Jones, Ibe, Kelly, Flanagan.
MAN UNITED: De Gea 6; Jones 5 (Valencia 37, 6), Ferdinand 7, Vidic 6, Evra 6; Carrick 5, Cleverley 7; Young 5 (Nani 62, 6), Welbeck 6, Giggs 6 (Hernandez 75); Van Persie 5.
Waliokuwa benchi: Anderson, Smalling, Lindegaard, Buttner.

No comments:

Post a Comment