Monday, September 9, 2013

AMEZA SIMU KUMZUIA MPENZI WAKE KUSOMA MESEJI


Msichana wa Brazil ameza simu yake ya mkononi ili kumzuia mpenzi wake asisome message zake

Wivu,uaminifu au chochote unachoweza kufikiria,kimesababisha msichana mwenye umri wa miaka 19 kutoka Brazil Adriana Andrade kuimeza simu yake ya mkononi kama njia ya kumzuia mchumba wake asisome sms katika simu yake#


Itazame hii video hapa uone jinsi kituo cha televisheni nchini Brazil wanavyoripoti kuhusu tukio hilo bonyeza hii link hapa http://www.youtube.com/watch?v=7XiktnzOLWc

Unaweza ukashea hii popote pale na wengine wafahamu.....!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment