
Samahani kwa picha hii hapo juu
Majambazi
yapora mama mmoja kiasi cha shilingi milioni kumi na kutokomea
kusikojulikana. Tukio hilo limetokea jumamosi saa 5:16 jioni, inavyosemekana
mdada huyo alikua akitoka benki ya CRDB tawi la Uhuru ambapo majambazi
yakiwa na pikipiki yalikua yakimfuatilia, alipotoka tu wakaligonga gari
lake makusudi ndipo dada huyo aliposimama ili angaalie nani kagonga gari
yake ambapo jambazi mmoja alishuka na kumpiga risasi ya kifuani na
kutokomea na kiasi hicho cha pesa. Mpaka tunaingia mitamboni hakuna
habari yoyote ya kukamatwa kwa wahalifu hao.
No comments:
Post a Comment