Sunday, August 11, 2013

SHEIKH PONDA AKIWAJIBIKA KABLA YA RISASI



Shekh Ponda, akitambulishwa jukwaani.


Shekh Ponda akisisistiza jambo mbele ya waumini wa dini ya Kiislamu, wakati akizungumza kwenye Kongamano, jana mjini Morogoro.



Shekh Ponda akisisistiza jambo mbele ya waumini wa Dini ya Kiislamu, wakati akizungumza kwenye Kongamano, jana mjini Morogoro.…

Shekh Ponda, akitambulishwa jukwaani.

Shekh Ponda akisisistiza jambo mbele ya waumini wa dini ya Kiislamu, wakati akizungumza kwenye Kongamano, jana mjini Morogoro.

Shekh Ponda akisisistiza jambo mbele ya waumini wa Dini ya Kiislamu, wakati akizungumza kwenye Kongamano, jana mjini Morogoro.

Askari wa FFU wakijisogeza katikati ya uwanja mara baada ya muda wa kongamano kumalizika.

Kikosi cha FFU uwanjani.
Shekh Ponda akiteta jambo na baadhi ya viongozi wa umoja wa wahadhiri wa dini ya Kiislamu Mkoa wa Morogoro, baada ya kuona magari ya askari yakisogea katikati ya uwanja.


Shekhe Ponda akiwa amezingirwa na waumini.
Pichani juu ni taswira mbalimbali zikimuonyesha Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda akiwa katika mhadhara wa kidini mjini Morogoro kabla ya kudaiwa kujeruhiwa.
(PICHA KWA HISANI YA MWINYIALLY BLOG)

No comments:

Post a Comment