Rooney akimdhibiti Ramires
KOCHA wa Manchester United, David
Moyes amepeleka ujumbe kwa Chelsea kwamba Wayne Rooney hatahamia
Stamford Bridge majira haya ya joto kufuatia mchezo wa usiku huu wa
miamba hao uliomalizika kwa sare ya bila kufungana kwenye Uwanja wa Old
Trafford.
No comments:
Post a Comment