Wednesday, August 28, 2013

IGA UFE


Mwendesha baiskeli huyu akianza kuonyesha ufundi wake uwanjani.
...Bila kuwa mtaalam hapa lazima uache pua.…
Mwendesha baiskeli huyu akianza kuonyesha ufundi wake uwanjani.
...Bila kuwa mtaalam hapa lazima uache pua.
...Staili tofauti ikiwa ni mbwembwe za kijana huyu mahiri kwa kucheza na baiskeli.
Kijana huyu pichani juu akionyesha ufundi wa kuendesha baiskeli ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam wakati wa mpambano wa Yanga na Ashanti United uliopigwa Jumamosi Agosti 24, mwaka huu.
(PICHA NA RICHARD BUKOS / GPL)

No comments:

Post a Comment