Tuesday, August 13, 2013

IBADA YA KUMWOMBEA BILIONEA MSUYA




Familia ya marehemu katika ibada ya kumwaga marehemu Erasto Msuya iliyofanyika  Jumatatu huko  Sakina Arusha.
IMG-20130812-WA0006
Dada wa marehemu Erasto Msuya  katika ibada ya kumwaga marehemu kaka yake Erasto Msuya nyumbani kwake Sakina Arusha.
IMG-20130812-WA0011
Mchungaji Abeli Msuya na mkewe wakitoa sala mbele ya jeneza la marehemu.
IMG-20130812-WA0008
Ndugu jamaa na marafiki wakiwa na majonzi.
IMG-20130812-WA0010
Mchungaji Mwanga akitoa neno katika ibada hiyo.
IMG-20130812-WA0007

No comments:

Post a Comment