CHEKA AMTWANGA MMAREKANI
Bondia Francis Cheka wa Tanzania (kulia)
akimuadhibu mpinzani wake Mmarekani, Phill Williams, wakaati wa pambano
lao la raundi 12 la kuwania Ubingwa wa Dunia uzito wa Super Middle
(WBF) lililofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee usiku huu. Katika
pambano hilo Bondi Mtanzania Francis Cheka ameweza kumgalagaza kwa
Pointi mpinzani wake na kutwaa ubingwa huo.
No comments:
Post a Comment