Monday, July 8, 2013

MNUSO WA DIDA KUOLEWA NA MME WA TATU ILIKUWA HIVI

Kwanza nianze kwa pongezi kwa wawili hawa kwa uamuzi wa busara wa kuhalalisha. Ilikuwa ni ijumaa ya tarehe 5 nyumbani kwa mama yake na Dida. Haya waliosema hayawi sasa yamekuwa!
Solo au kombe lilihusika kama kawa!

Bibi Harusi alipowasili akiwa kafunikwa mashallah

Bi Hindu akimpa nasaha bi harusi
Bwana harusi akisubiri ndoa



Ikasomwa dua pale na ndoa ikafungwa
Ezden akaini cheti cha ndoa
Dida nae akasaini
Mimi na wewe mpaka milele mama usijali wapambe
Nibusu nikubusu tuonyeshane upendo


Mie pie nikapata nafasi ya kushow luv..animal print ilihusika
Waziri wa michezo Times fm Cliford Ndimbo aliwakilisha pia
Mashosti waliwakilisha
Marafiki hawakuwa nyuma
Ummy kutoka Times na shosti wake walikuwepo

Baada ya hapo maharusi wakaelekea kupumzika~!

No comments:

Post a Comment