Wednesday, July 17, 2013

MCHEZO WA BAO BADO UNAPENDWA

Juma Shoka Salumu Dilunga Kushoto akicheza mchezo wa bao na Salumu Dilunga wakati walipokuwa maeneo ya Changamoto Mkoa wa Tabora jana mchezo huo uliozoeleka kuchezwa mikoa ya pwani imeleta chachu kubwa kwa wakazi wa mkoa wa Tabora

No comments:

Post a Comment