Monday, July 15, 2013

MABUS MAWILI YATEKWA HUKO BIHARAMULO

Quote By khairun View Post
leo asubuhi majira kati ya saa 2 na saa 3, basi la RS kutoka Bukoba kwenda Dar na NBS kutoka kutoka Arusha kwenda Bukoba yametekwa eneo la "mlima wa simba" lililopo Biharamulo, mabasi hayo yalifyatuliwa Risasi na kusimama na kuanza kusachiwa abiria waliomo ndani ya mabasi hayo, waliachiwa na majambazi hayo pale basi la mohamed Trans lilipostukia tukio hilo na kugeuza ndipo majambazi hayo nayo yalipokimbia.
 Chanzo JF>

No comments:

Post a Comment