Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akihoji
bei ya maboga katika soko la Mombasa, wakati wa ziara yake ya
kutembelea soko hilo hapo jana.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad
akiangalia mboga mboga katika soko la Mombasa, wakati wa ziara yake ya
kutembelea soko hilo hapo jana
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akihoji
bei ya samaki katika soko la Mombasa, wakati wa ziara yake ya
kutembelea soko hilo hapo jana
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akihoji
bei ya nazi katika soko la Mwanakwerekwe, wakati wa ziara yake ya
kutembelea soko hilo hapo jana. Nazi moja inauzwa kati ya shilingi 200
hadi 400 (bei ya jumla)
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akihoji
bei ya muhogo katika soko la Mombasa, wakati wa ziara yake ya
kutembelea soko hilo hapo jana. Fungu la muhogo linapatikana kwa bei ya
shilingi 1000 hadi 2000.

bei ya njugu mawe katika soko la Mwanakwerekwe, wakati wa ziara yake ya
kutembelea soko hilo hapo jana. Kilo moja ya njugu ni shilingi 1500
(bei ya jumla)
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akihoji
bei ya mboga mboga katika soko la Darajani, wakati wa ziara yake ya
kutembelea soko hilo hapo jana
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akihoji
bei ya samaki aina ya change katika soko la Darajani, wakati wa ziara
yake ya kutembelea soko hilo hapo jana. Changu mmoja wa kawaida anauzwa
kwa bei ya shilingi 8000 hadi 10,000
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad
akiagana na Mkurugenzi wa Manispaa Abeid Juma, baada ya kumaliza ziara
yake ya kutembelea masoko katika manispaa ya Zanzibar hapo jana. Picha
zote na Salmin Said, OMKR.
No comments:
Post a Comment