![]() |
| Waziri mkuu mstaafu Edward Lowasa akisamiliana na waumini wa dini ya Kiislam baada ya kualikwa kwenda kuchangia kituo cha radioIkra inayomilikiwa na BAKWATA kiasi cha Tsh milioni 590 zilichangiswa |


| Lowasa alifanikiwa kuchangisha huko Mwanza zaidi ya milioni 590 wakati lengo lilikuwa kupata milioni 500 hivyo alivuka lengo la ukusanyaji. |

No comments:
Post a Comment