Mhe. Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, amekubali kuwa mgeni
rasmi katika Tamasha la Usiku wa Matumaini litakalo fanyika Jumapili
hii, Julai 7 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Aidha, Rais
atahutubia katika tamasha na pia atakuwa refa wa mechi za wabunge wa
Yanga na Simba.
No comments:
Post a Comment